Mkuu mbona tunatishana hivi? 50/plate ?Hakuna shughuli ndogo ndoa ni wewe unavyojipanga,kwanza uhakikishe unamenunua nguo ya bibi harusi na bwana harusi pia ujue unataka kualika watu wangapi?je sahani ya wali unataka ya bei gani zipo hadi 50k per plate hila hadi 15k per plate ukumbi nikitu cha msingi ukishajua hayo unayoyataka utakuwa umemaliza shughuli.
Ubarikiwe sanaHarusi rahisi ni kufanya kati kati ya wiki watu wapo busy offisini , wewe unakuwa na siku ya off , unaenda kanisani baada ya kuandikisha hiyo ndoa kanisani , baada ya hapo mnaenda kufanyia sherehe nyumbani ndugu wachache na chakula kinaweza kupikwa hapo hapo home au unakodisha wapishi wanakuja pikia nyumbani, au unaenda kuchukua chakula kwa wapishi pale Jangwani au karibu na unapoishi
Nimekwambia hata ya 15k zipo ila hapo ni wali mweupe tu hakuna matunda wala ndizi!Mkuu
Mkuu mbona tunatishana hivi? 50/plate ?
iyo ishakuwa changamoto Mkuu, bei kubwa hivo
Ndoa ambazo hazina harusi ni nyingi sana kwanza kabisa kanisa katoliki linahimiza ndoa isiwe na gharama kubwa maana Jambo hili linawakwaza vijana kila wakifikiria harusi kubwa na hela hawana! Nenda kanisani kaandishe ndoa.
Nunua nguo yako ya kawaida siku ya ndoa ambatana na msimamizi wako na jamaa wachache wa karibu ndoa itafungwa vzr kama utaweka chakula kidogo kwa wageni wachache ni maamuzi yako kama utapanda bodaboda au bajaji na mkeo ni ww kama utaamua kwenda geto kwako ni ww tu! Ukitaka makuu au madogo ni maamuzi yako mwenyewe.
Haupo kuoa ili ufurahishe jamiias
hahhaaaaaaaaaa uwiiiii mbona hizo za 15k zina maatunda , soup, biriani, wali na pilau haizzzzzinaga mbwembwe sana ila cha kufanya yy ajipange kwa bajeti yake ilivyoNimekwambia hata ya 15k zipo ila hapo ni wali mweupe tu hakuna matunda wala ndizi!
Kupunguza gharama afanye moja kati ya hapo..Wakuu wanajukwaa wasalaam,
Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi.
Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je umewahi kushuhudia ndoa/ harusi ya bei rahisi? Je likuwaje?
Je umewahi kuhudhuria ndoa isiyo na harusi? Je ilikuwaje na ilitafsiriwaje na jamii?
Naomba tupeane ujuzi wakuu!