Pale CCM Lucas Mwashambwa wanamuita Mzindakaya 😀Aiseee!!! Au ndio maana Makonda alikuwa anamkusanyia jiwe Waganga!
Utata upo kichwani mwako.Hiyo serikali yenyewe ina utata.
Sawa.Kunywa
Nawe poti acha kuchanganya habari na Siasa za CCM!Ndugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎View attachment 3233717
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpeleke akapigiwe kura za kuwa alivyo sasa.Ndugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎View attachment 3233717
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Achukuliwe akapewe kazi Hazina makao makuuNdugu zangu Watanzania,

Kweli mkuu, uongo mwingi sana!Viongozi wenu ni mahayawani watekaji, wauaji, watesaji na wamekosa kabisa sifa za utu na za uongozi
Ndugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎View attachment 3233717
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wakoUshirikina ni trade mark ya Tanzania ya CCM pekee
Acha ujinga wako
Duh!Ndugu zangu Watanzania,
Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana .
Embu Soma habari hii👎
Katika hali isiyo ya kawaida kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daud mkazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa, amezua taharuki baada ya kuiba koti la mzee mmoja ambaye jina lake halijafahamika ambapo baada ya kuiba koti hilo ilianza kusikika sauti ikitoka katika koti ikimtaka arejeshe haraka kwa mmiliki halali ambaye kwa wakati huo alikuwa katika kijiji cha Isesa nje kidogo na Sumbawanga mjini.
Huyu mtu alitakiwa achukuliwe kisirisiri na kupewa kila huduma anayohitaji ili awe maalumu kusaidia baadhi ya mambo mazito mazito😀😀.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Majuzi alipata kibarua cha muda kwenye uboreshaji wa daftari la wapiga kura ndiyo maana alikuwa haonekaniWe mzee mwasha mbwa hujapata hat ukuu wa wilaya hapo lumumba?
Ili awasaidie pia kuiba kura oktoba??Ndugu zangu Watanzania,