Kijana auawa na kuporwa simu

Halafu wakianza kuuawa utasikia haki za binadamu wanakuja, Huwa sijui wanatetea haki za binadamu wa wapi?? Polisi msako uendelee
 
Kuna muda huwa nawaelewa mapolice, mijitu kama hii ikipigwa risasi ni sawa tu, ingawa kisheria na haki za binadamu si sawa ila inauma mno.... simu unamuua mtu.
 
Halafu wakianza kuuawa utasikia haki za binadamu wanakuja, Huwa sijui wanatetea haki za binadamu wa wapi?? Polisi msako uendelee
sema ukiua huwezi kuwa na uhakika je uliyemuua ndiye ama siye !! na ukiruhusu hivyo Askari anaweza kutumia mwanya huo kuua kwa sababu zake zingine afu akasema jambaz sugu.
 
Ni kisasi hiki.
 
Unamuua binadamu mwenzako kisa simu mali yake.
Bongo ni hatari mzee na uhatari wake hatuna vifaa vya kuwabaini hao wezi ni bahatisha bahatisha tuu na wezi wengi wanajua kuwa wanaowafanyia umafia hawana siraha yeyote ndio maana tunasikia haya matukio na wenye siraha pana vipengele vya kuwabana hata wakitumia siraha zao..itokee mtu awafyatue panya road watano utasikia kaua kisa simu kumbe mtu alikua anaokoa maisha yake sio simu..
 
Kwa sasa watakuwa wametorokea mikoani kujificha
Iringa ikiwemo! Juzi nilikuwa huko, nikalala maeneo ya barabara 2, asubhi natoka kuwahi stendi nikakatiza nyuma maeneo hilo ghorofa la hapo stendi ya zamani walivyokuwa wamejazana almanusra nitimue mbio. Wako busy wanavuta mimoshi yao tu
 
Taarifa kama hizi huwezi kumuona Abdul Nondo na watetezi wengine WA Haki za binadamu.


Wahuni Dawa Yao ni Risasi tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…