Kijana baada ya miaka 5 kumaliza masomo ya engineer

Bora usome miaka mitano na uwe na uhakika wa ajira ama kujiajiri. Kama sio hivyo kuna miaka mingine ya kujitafuta mtaani baada ya elimu. Unakuja kujipata ushazeeka.
 
Huyo itakuwa ni maisha ya huko Urusi tu yamempiga mbona kuna vijana wengi wazuri wanasoma hizo engineering courses ngumu na wanamaliza na uzuri wao, by the way Urusi sijui kuna nini nasikia vijana wengi wa kiafrika wanaoenda kusoma huko hasa udaktari, huwa wanarudi kama wamechanganyikiwa hivi chanzo kikubwa kikisemekana ni ulevi wa kupitiliza wa pombe za huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…