Kijana baada ya miaka 5 kumaliza masomo ya engineer

Kijana baada ya miaka 5 kumaliza masomo ya engineer

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kuna masomo yana zeesha kuliko wanywa gongo na wabeba mizigo.

Kijana alikwenda kusomea engineer kwa kipindi cha mda wa miaka 5 urusi.
IMG_0759.jpeg
 
Bora usome miaka mitano na uwe na uhakika wa ajira ama kujiajiri. Kama sio hivyo kuna miaka mingine ya kujitafuta mtaani baada ya elimu. Unakuja kujipata ushazeeka.
 
Huyo itakuwa ni maisha ya huko Urusi tu yamempiga mbona kuna vijana wengi wazuri wanasoma hizo engineering courses ngumu na wanamaliza na uzuri wao, by the way Urusi sijui kuna nini nasikia vijana wengi wa kiafrika wanaoenda kusoma huko hasa udaktari, huwa wanarudi kama wamechanganyikiwa hivi chanzo kikubwa kikisemekana ni ulevi wa kupitiliza wa pombe za huko
 
Back
Top Bottom