Kijana badilika uaminifu wako ndo mtaji wako

Ngashtuka, huyo dogo nimjinga sana, machale kudesa, wanawake wanashiriki kufilisi biashara ukiwaendekeza sana.
 
Ndio maisha kaka, atapata somo na baadae atajuta kwa nafasi yake, wewe ulipomfikisha panatosha.

Next time uwe unaweka watoto wa kike, wale hawanaga mambo mengi sana na ni simple kuwa control, mtazamo tu
hao ndio basi tena. duka 'wanalikula, naye wanamkula' ukija kushtuka unakuta 'mapanki' tu.
 
Hii thread inatakiwa kusomwa na kila mtanzania. UAMINIFU ni mtaji mzuri sana kwenye maisha! Hiki kitu kimetushinda wabongo wengi.
 
Fact! Umefafanua vizuri sana.
 
Human being is an animal by nature.

He is both domestic and wild animal.

When you plan to engage him in your development projects, make sure you are keen enough to deal with him.
 
Wema ni akiba! Ndicho nilichojifunza maishani naweza kuwa na uhitaji flani Ndugu yangu Wa damu asinisaidie lkn nikasaidiwa na rafiki tena Kwa moyo mweupe
Huyo hata angekuibia mamilion hela ya dhukuma haikai na atahangaika weeee Kwa tamaa zake na asipate Wa kumsaidia
 
Asante sana kwa uzi huu juu ya elimu ya UAMINIFU. Pole kwa mkasa mzima. Ila mkuu usichoke kusaidia kwa wale wenye uhitaji.
Katika hili nimejifunza mengi na naimani akili yangu sasa imekomaa..
 
Unaweza kuwa na ndugu wa karibu wenye nafasi na wasikusaidie. Nimekutana na jamaa hata simfahamu, amenisaidia na naona mwanga sasa katika maisha yangu.

Tusichoke kutoa msaada, Mungu wa Mbinguni ambariki sana huyu ndugu.
 
Nilichojifunza kutokana na uzoefu wa swala kama lako ni kwamba usimpe kula mwenye njaa atakufilisi watu wengi wenye umaskini, dhiki ,shida na njaa hubadilika haswa wanapoanza kushika hela hapo huota mapembe na kuanza kukugawia wewe kiasi cha fedha anachoamua yeye, kwa mtazamo wangu mtu baki ajitafutie mwenyewe kwa nguvu zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…