Kijana Diamond anajitahidi kutukana kwa kweli

Kijana Diamond anajitahidi kutukana kwa kweli

Tema mate inamaanisha pagumu hapawezi lepwelepwe
 
Tanzania sheria ya kutukana kwenye Sanaa haipo ukae ukijua hilo........tatzo sheria Hata kama tusi limezoeleka .....

hata sharia ya kumfungia msanii asifanye shuhuri zake za kisanii nje ya nchi haipo...ukae ukijua hilo!!
 
hata sharia ya kumfungia msanii asifanye shuhuri zake za kisanii nje ya nchi haipo...ukae ukijua hilo!!
Nakubaliana naww kabisa kwa hlo wameteleza kumfungia kivile...... lakini naww nadhan unajua kua matusi ni mwiko au wongo !!!!!!!
 
Back
Top Bottom