chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 19, 2018 #21 Duh!wakala wa shetani huyu
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Dec 19, 2018 #22 Naona wachawi wanafurahi Sana mtu kufungiwa
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Dec 20, 2018 #23 Elungata said: Yaani anasema,"tema mate niteleze kama pangoni?... Haya matusi hatuwezi vumilia,naomba akamate,anyongwe Click to expand... Aaah hahhaa
Elungata said: Yaani anasema,"tema mate niteleze kama pangoni?... Haya matusi hatuwezi vumilia,naomba akamate,anyongwe Click to expand... Aaah hahhaa
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Dec 20, 2018 #24 Tema mate inamaanisha pagumu hapawezi lepwelepwe
M Mkata-tamaa Senior Member Joined Nov 21, 2018 Posts 180 Reaction score 312 Dec 20, 2018 #25 varangati said: Tanzania sheria ya kutukana kwenye Sanaa haipo ukae ukijua hilo........tatzo sheria Hata kama tusi limezoeleka ..... Click to expand... hata sharia ya kumfungia msanii asifanye shuhuri zake za kisanii nje ya nchi haipo...ukae ukijua hilo!!
varangati said: Tanzania sheria ya kutukana kwenye Sanaa haipo ukae ukijua hilo........tatzo sheria Hata kama tusi limezoeleka ..... Click to expand... hata sharia ya kumfungia msanii asifanye shuhuri zake za kisanii nje ya nchi haipo...ukae ukijua hilo!!
varangati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,726 Reaction score 1,628 Dec 20, 2018 #26 Mkata-tamaa said: hata sharia ya kumfungia msanii asifanye shuhuri zake za kisanii nje ya nchi haipo...ukae ukijua hilo!! Click to expand... Nakubaliana naww kabisa kwa hlo wameteleza kumfungia kivile...... lakini naww nadhan unajua kua matusi ni mwiko au wongo !!!!!!!
Mkata-tamaa said: hata sharia ya kumfungia msanii asifanye shuhuri zake za kisanii nje ya nchi haipo...ukae ukijua hilo!! Click to expand... Nakubaliana naww kabisa kwa hlo wameteleza kumfungia kivile...... lakini naww nadhan unajua kua matusi ni mwiko au wongo !!!!!!!