Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Haaahaaahaaaa....hivi unafikiri ni kweli kinachosemwa hapa na huyoo? Hakuna kitu hapo ptuu

Njoo pm nikupe series yake...utatapika kichefu chefu kitupu!

Nilishasema tangu mwanzo ukiona kitabu usomacho hukielewi achana nacho, wewe si hadhira ya mwandishi”
 
Why wasting time hapa? Hizo za kwanini usingeandika jinsi ya kupata kiongozi bora why wewe usiandike si una access JF? Are you serious hiki ukionacho kwako ni maisha ya akina Pdidy?
 
Real gentleman unazungumzia kunukia na kujiremba eti classy?

Simara njoo pm nikupe mkanda!
Naona unatumia nguvu sana, ulichocomment mwanzo wa thread na sasa ni tofauti... hii inaonesha upo ktk kapu gani la maisha!

Ndugu tuliza nafsi sio lazima uchangie kila thread!

Ukihitaji pesa ya duplicate niambie nipo tayari kudhamini!!
"Ukiona unasoma kitabu hukielewi achana nacho, wewe si hadhira ya mwandishi"
 
Mtonyo watakiwa kufanya ulivyoshauriwa na mhenga
Nimeshangaa hii thread watu wanalazimisha vita!! Mhenga mwenzangu niambie huku chit chat ndo kupo hivi these days? Yaani mtu anaudhika na jukwaa la chit chat? Doh sijapita huku masiku mingi! Naona akina mwajuma ndala ndefu wanatafuta faraja!!
 
Kwa namna unavotaka wanaume tuwe hii ni kuendekeza umaskini haya maisha waarabu na wazungu waliotuletea toka western yanatuharbu sana utamadun wetu kwa kumaliza hela kweny Looks wakat familia zikiwa na maisha magum
 
Mkuu hayo niliyoandika huja baada ya shibe!! Huwezi afford hayo kama una njaa!!
 
unamawazo ya maskini mtarajiwa huna kichwa cha kuwaza maendeleo nilisoma.point ya kwanza nikasema wewe jembe chini hukoo ni upupuu
 
unamawazo ya maskini mtarajiwa huna kichwa cha kuwaza maendeleo nilisoma.point ya kwanza nikasema wewe jembe chini hukoo ni upupuu
Teh teh wewe mwenye kichwa cha maendeleo watafuta nini hapa? After all haya ni mambo ya mtu asiewaza kesho atakula nini.
 
Teh teh wewe mwenye kichwa cha maendeleo watafuta nini hapa? After all haya ni mambo ya mtu asiewaza kesho atakula nini.
na wewe uliandika ya nini si unatupa ushauri kama hauna la maana tukupongeze?
hapo baada ya after all hayo maelezo yameelza kabisa wewe ni mtu wa namna
 
usipende kuonekana una fwedha mkuuu zinatafutwa kakaa ohooo ukiwa na expectation hizo mbele ya kadamnasi kama hizi
expectation kills brother
 
na wewe uliandika ya nini si unatupa ushauri kama hauna la maana tukupongeze?
hapo baada ya after all hayo maelezo yameelza kabisa wewe ni mtu wa namna
Halafu sio lazima sana kupoteza muda ktk vitu ambavyo huna interest navyo! Kuna maelfu ya thread humu unaweza peruzi za kukufaa! Usipoteze muda wako tafuta panapokufaa.
 
Hii inaitwa kufeli kwa mwandishi.
Teh teh teh mzee hujalala? Hii inaitwa ukitaka chukua ukitaka acha!!

"Ukiona kitabu hukielewi achana nacho.... wewe si hadhira ya mwandishi"
 
Teh teh teh mzee hujalala? Hii inaitwa ukitaka chukua ukitaka acha!!

"Ukiona kitabu hukielewi achana nacho.... wewe si hadhira ya mwandishi"
Post kama hii inabid atoe kijana aliyepitia balehe ya kwanza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…