Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Katika vyote hapo hujasema utafute hela ili upate hivyo expensive so kwangu ni useless[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kutafuta hela inatofautiana kulingana na mazingira uliyopo; fursa iliyopo mSaki ni tofauti na manzese au iringa
 
unamawazo ya maskini mtarajiwa huna kichwa cha kuwaza maendeleo nilisoma.point ya kwanza nikasema wewe jembe chini hukoo ni upupuu
Watu wote wanaotumia ndio wenye mafanikio makubwa kuliko ambao hamna matumizi kwani amfikirishi akili yenu kupata kipato cha kutosha
 
Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.

Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc

Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.

Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!

Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!

Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!

Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!

Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...

Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Zipi mbinu za kumnasa mzungu??
 
Back
Top Bottom