Kijana fanya haya kumnasa mwanamke yeyote classy!

Post kama hii inabid atoe kijana aliyepitia balehe ya kwanza .
Inaonekana unabishana ili kujifariji ila hizo ndo facts ukiona tofauti unaweza anzisha thread kuonesha mtazamo uutakao!
 
Taratibu we jamaa utapata laana ujue...
Ahahahah mhenga mwenzangu hujalala tu!! Najaribu kuwapa nondo vijana ila enzi zetu zile radio ya mkulima ilitosha kuwa ulimbo ila sasa maisha yamebadilika!!
 
Ahahahah mhenga mwenzangu hujalala tu!! Najaribu kuwapa nondo vijana ila enzi zetu zile radio ya mkulima ilitosha kuwa ulimbo ila sasa maisha yamebadilika!!
Hivi sasa ni mwendo wa iPhone na chipsi yai. Vijana wetu wanapotea sana...
 
Acha unafiki..pesa ndio kila kitu

Eti gentle ni utanashati..nacheka kihaya " ta ji ri"
Duuh...

Unitukane ndiyo uone nitakuelewa Mzee mama!

Sijaelewa mengine nimeelewa tusi.
 
Why wasting time hapa? Hizo za kwanini usingeandika jinsi ya kupata kiongozi bora why wewe usiandike si una access JF? Are you serious hiki ukionacho kwako ni maisha ya akina Pdidy?

We unayeponda eti “”loser” ungeandika ya wasio ma loser tukuome sio topic za kushoga eti jinsi ya kupata mwanamke. So akili yako yooooote katika vyoote umeona cha maana cha ku come up with is how to get any woman??? Dumbass!
 
Are you serious hayo kwako ni maisha ya akina Pdidy?

Niletee mtanzania wa kawaida anaepata laki 6 kwa mwezi umwambie afate ushauri wa huo ushuzi ulioongea hapo juu and I will give you $1000 cash mkononi ukanunue vocha ya simu! Mind you asilimia kubwa unaowapa ushauri hapa wana range kwenye income hiyo. Then come back na proof and tell me you are smart.
Acheni mawazo ya kusadikika ishini kwa reality or reality that’s around you! Kama wewe una afford fata wenye hela wenzio uwashauri hivyo kama kweli unayo hiyo hela uwaambie hizo tricks zako za kupata wanawake gold diggers
 
We unayeponda eti “”loser” ungeandika ya wasio ma loser tukuome sio topic za kushoga eti jinsi ya kupata mwanamke. So akili yako yooooote katika vyoote umeona cha maana cha ku come up with is how to get any woman??? Dumbass!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Comprehension kwako ni shida. Soma tena na tena then ukishindwa acha.
We uelewa wako si uko juu kiasi cha kuwa na mtazamo hasi wa kuto kujikubali wewe mwenyewe kiasi cha kuanza ku-fake maisha ili ukubalike na wanawake, ukweli umekuuma kiasi cha kutukana, alafu badilisha ilo neno mkahawa sio mkahawa ni mgahawa sawa!
 
We uelewa wako si uko juu kiasi cha kuwa na mtazamo hasi wa kuto kujikubali we mwenyewe kiasi cha kuanza ku fake maisha ili ukubalike na mademu, ukweli umekuuma kihasi cha kutukana, alafu badilisha ilo neno mkahawa sio mkahawa ni mgahawa sawa!
Haaahaaa....uwiiii
 
We unayeponda eti “”loser” ungeandika ya wasio ma loser tukuome sio topic za kushoga eti jinsi ya kupata mwanamke. So akili yako yooooote katika vyoote umeona cha maana cha ku come up with is how to get any woman??? Dumbass!
Teh teh!! Wewe ni loser maana unachezea dumbass!! Coz JF imejaa thread tele lkn umeamua ukae kwa dumbass!!
 
The way ulivyokosa direction ndo the more unaonekana loser!! Unasema niwafate je niwafate wapi? JF ina more than 200K members unajua uwezo wa kila mmoja wao? Au ndo generalizations na assumptions kama za waswahili wenzio? Then hii thread sidhani kama inakuhusu.

Teh teh eti $1000 cash unipe mimi? Haya kaoshe mama ulale.
 
We uelewa wako si uko juu kiasi cha kuwa na mtazamo hasi wa kuto kujikubali we mwenyewe kiasi cha kuanza ku fake maisha ili ukubalike na mademu, ukweli umekuuma kihasi cha kutukana, alafu badilisha ilo neno mkahawa sio mkahawa ni mgahawa sawa!
Teh teh ukweli upi sasa umeniuma? Halafu wapi nimetukana? This is chit chat dude kama haya niliyoandika yamekuuma pambana uyapate.

Then unaonekana mluga mluga sana na unaishi kwenye slums that's why uko na limited exposure na life experience

Hapo chini soma maana ya mkahawa weye umekariri mgahawa tu?
 
You're well understood mkuu, but kitendo cha wewe kuniambia mimi comprehension kwangu ni shida ni kama umenitukana tusi kubwa, I'm intelligent enough,
Alafu mimi sina wivu na maisha mazuri ya watu hata siku moja hata kama ya kwangu ni ya kawaida, kwahiyo kitendo cha wewe kuniambia ninakuonea wivu na lifestyle yako hiyo huko mi nadhani ni kujitekenya na kucheka tu mwenyewe,
Na siku zote watu wasio kuwa na complications za maisha wanavyo kuwa wanaishi maisha ya kawaida ya kuto jionesha onesha na bata jingi huwa wanaonekana washamba, wazee, waliopitwa na wakati lakini ndiyo formula ya mtu anaye jielewa vizuri lakini mwenzetu inawezekana hujagundua hili,
Na kuhusu neno mkahawa mi nilikuwa najua mgahawa ni restaurant tangu zamani na mkahawa ni mti wa kahawa na sikuwahi kujua kuwa mkahawa pia ni restaurant no more.....,
 
Sio peke yako ni shida ya watanzania wengi mno mna shida ktk comprehension. Sio kosa lenu ni lishe duni imedumaza makuzi yenu ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…