Sasa nimeshagundua kuwa akili zako ni mbovu, umepewa fact zote lakini still bado unanitukana, mtu mwenye akili mbovu siku zote hata kama ukimuandikia points & facts zote hawezi kukuelewa milele, Sitokuja ku-reply kwenye threads wala comments zako zozote haupo sawa wewe,Sio peke yako ni shida ya watanzania wengi mno mna shida ktk comprehension. Sio kosa lenu ni lishe duni imedumaza makuzi yenu ya akili.
Nne ukimwi upo na unaua,umesahau kuwaambiaMwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Utakuwa jobless na loser tu!! Mi hunisaidii chochote ukijibu au usipojibu comments au thread zangu..... tangu mwanzo nimekwambia philosophy husema ukiona kitabu hukielewi achana nacho.... wewe si hadhira ya mwandishi. Yale unayoona yanafaa wewe una uhuru wa kuyaanzishia thread. Hata mimi zipo thread zangu ambazo zimesaidia wengi kimaisha hapa JF!! Wapo waliopata kazi kwaajili yangu na wapo walioenda ulaya kwaajili yangu tokea hapa JF!!Sasa nimeshagundua kuwa akili zako ni mbovu, umepewa fact zote lakini still bado unanitukana, mtu mwenye akili mbovu siku zote hata kama ukimuandikia points & facts zote hawezi kukuelewa milele, Sitokuja kureply kwenye threads wala comments zako zozote haupo sawa wewe,
Mtu mwenye akili mbovu utaona hata threads zake anazo post ni za kipumbavu, Hii thread yako uliyo post inatufundisha nini zaidi ya kutupoteza if you are a true Expert? Jibu baki nalo mwenyewe coz najua hata ukinijibu hilo jibu halitokuwa point zaidi ya matusi,
Bahati nzuri nimeshagundua kuwa huna akili timamu kwahiyo hunisumbui wala hunibabaishi kitu zaidi ya comments zako ndefu zilizo jaa matusi,Utakuwa jobless na loser tu!! Mi hunisaidii chochote ukijibu au usipojibu comments au thread zangu..... tangu mwanzo nimekwambia philosophy husema ukiona kitabu hukielewi achana nacho.... wewe si hadhira ya mwandishi. Yale unayoona yanafaa wewe una uhuru wa kuyaanzishia thread. Hata mimi zipo thread zangu ambazo zimesaidia wengi kimaisha hapa JF!! Wapo waliopata kazi kwaajili yangu na wapo walioenda ulaya kwaajili yangu tokea hapa JF!!
After all niliyoandika ni maisha ya kawaida mno kwa mtu wa kipato cha kati ila kwenu losers mnaona ni mbingu na ardhi!!
Again huna capacity ya ku grasp simple meaning ya vitu so huwezi zielewa thread zangu! Utapia mlo umewalemaza!
The way ulivyokosa direction ndo the more unaonekana loser!! Unasema niwafate je niwafate wapi? JF ina more than 200K members unajua uwezo wa kila mmoja wao? Au ndo generalizations na assumptions kama za waswahili wenzio? Then hii thread sidhani kama inakuhusu.
Teh teh eti $1000 cash unipe mimi? Haya kaoshe mama ulale.
Hii comment yako inaonesha how much uko so desparate!! Kama akina mwajuma ndala ndefu wenzako comprehension kwako ni shida coz ya life style zenu hasa lishe duni!! Soma tena thread! Nimesema nilikutana na msanii maarufu NY akanipa compliment juu ya perfume na wala sijasema niliokota mademu wengi NY!!Kwendaaaaaaa!!!!!
Eti nilienda NY nikapata mademu wakali kisa perfume loool!!!!! Hao naoishi nao ma gold diggers ukaona diiiiliiii ndo unakuja kutoa advices za ki wendawazimu huku lmao!!!!
Afu unaponda eti tunachagua vicha wakati umeandika uharo hahahaaha... nyani haoni kundule! Hata kichaa huwa hajijui ni kichaa ...
narudia tena, $1000 ukanunue vocha! Lets talk about class with dirty mouth at the same time! What you got????
Dumbass!!!!
HowMi nimependea hapo kwenye majukumu ya mwanaume!
Mwanaume ni lazima ujue majukumu yako ukifeli hapo ( kwenye kipengele cha ugentleman) storee zako zote zinakuwa hazina mvuto.....yaan ni mvutoless
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ila kuna wanaume wengine mvutoless asee...hata avae or apake nini yaani ni havutii yaaan!
Vipi kwa wale wadada classy tunaopita nao,sisi waendesha boda boda,house boys,shamba boys,Mwanamke yeyote hasa aliye classy huvutiwa na mambo haya kwa mwanaume.. achana na hadithi za baby baby all the time.
Kwanza kuwa smart! Nakumbuka first timenilikutana na mrembo machachari afrika mashariki anaeanza na herufi ”Z” pale 5th Avenue NY ktk mkahawa fulani aliniuliza bro umetumia cologne gani? Nikamwambia ni Creed Aventus alimalizia kwa kusema nzuri mno!! Perfume iliniunganisha na mrembo yule tukachat machache na kuachana but ndo ilifungua ukurasa wa kufahamiana. Vaa nguo nzuri na simple, kama ni miwani usivae ya machinga vaa ya majina na original kama Gucci... Prada etc
Pili kuwa Expensive!! Yote duniani yanawezekana ni juhudi zako tuu!! Vaa saa expensive, tumia perfume expensive za majina kama akina Paco Rabanne, YSL, Isey Miyake, Georgio Armani... Chanel etc.. alimia 70 za warembo nilio wahi kuwa nao niliwanasa kwa perfumes tu! Unakuta mrembo kila saa anapita pita mbele yako.
Vaa saa nzuri... simple looking but expensive one!! Vaa saa genuine!
Tumia Simu brand kali na toleo jipya sio unatumia older versions za iPhone au Samsung ukategemea mrembo classy atakupa attention!
Pendelea kutumia usafiri private hata kama huna Gari! Kwa wale wa mjini tumia Uber.. mtoto wa kike kumkimbiza na vibajaji atakushusha!!
Tatu na mwisho be a gentleman!! Ishi ktk jinsia yako ya kiume!! Tambua wajibu wa mwanaume mbele ya mwanamke!! Beba majukumu yote mbele yake kama kulipia bills, kutoa msaada n.k wanawake huvutiwa sana na mwanaume mlipa bills!! Hata mkiwa club wanawake wengi macho yao huwa kwa wanaume wanaosimamia show!!
Kijana ukiweza fanya hayo hakuna mwanamke atakukataa ktk dunia hii hata kama sio kwa mapenzi hata kwa urafiki tuu...
Hizo ndo nondo toka kwa kaka yenu ninayesubiria uhenga!!
Fear not mkuuNne ukimwi upo na unaua,umesahau kuwaambia
Yaani kuwa+usafiri na kuishi standard life kitu kinachokupa heshima na confidence kila mahali unaingia ni gharama na wakati ni basic??Yaaan nitumie cost zote hizoo kwa sababu ya 'kibumbu'??? Abadani asilani hakuna formula ya kutongoza na kumnasa mwanamke mkalee
Kwa nn mkuuHahaha hii thread imenichekesha sana, huyu mtoa mada ana matusi ya rejareja.
Kupata laki sita kwa mwezi ni nzuri ili ifikie huku unatakiwa uwe na kabiashara kako unafanya mkuu...sio unaishi kwa mshahara ni wachche sana wanaishi kwa mshahara anaWeza kuishi luxury life ku enjoy the life to the fullestNiletee mtanzania wa kawaida anaepata laki 6 kwa mwezi umwambie afate ushauri wa huo ushuzi ulioongea hapo juu and I will give you $1000 cash mkononi ukanunue vocha ya simu! Mind you asilimia kubwa unaowapa ushauri hapa wana range kwenye income hiyo. Then come back na proof and tell me you are smart.
Acheni mawazo ya kusadikika ishini kwa reality or reality that’s around you! Kama wewe una afford fata wenye hela wenzio uwashauri hivyo kama kweli unayo hiyo hela uwaambie hizo tricks zako za kupata wanawake gold diggers