Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Well said mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, hii kauli haina mantikimaana usipofanya kwenye ujana wako ,utayafanya hayo mambo uzeeni
Sahihi KbsaYaan at 30s una miliki mijengo mjini! Aisee, kumbe waku life ni simple hivyo na hamsemi.
Ukipata maisha hata ukizaa at 40+ watoto watakua na fura na utawafurahia kuliko aliyepata at 20s na maisha ni ungainga.
Mwangalie Kris Lukos wanae wanavyo enjoy japo aliwapata age go, ila wanafutaha na anawafurahia kuliko hawa wa kwetu ungaunga mwana. Mwamba hata akiondoka (siombei) wale mabinti wana life zuri na watamshukuru kwa vile atakavyo waachia.