Yaan at 30s una miliki mijengo mjini! Aisee, kumbe waku life ni simple hivyo na hamsemi.
Ukipata maisha hata ukizaa at 40+ watoto watakua na fura na utawafurahia kuliko aliyepata at 20s na maisha ni ungainga.
Mwangalie Kris Lukos wanae wanavyo enjoy japo aliwapata age go, ila wanafutaha na anawafurahia kuliko hawa wa kwetu ungaunga mwana. Mwamba hata akiondoka (siombei) wale mabinti wana life zuri na watamshukuru kwa vile atakavyo waachia.