Kijana handsome hapa, natangaza nia ya kumchumbia Zaylissa

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Yoyote aliekaribu na huyu mrembo amfikishie taarifa kua kuna kijana handsome balobalo huko JamiiForums anataka kumchukua.

Mtoto mzuri kama yule anahitaji kua na kijana, sio mzee. Tena si kijana tu bali handsome. Nipo hapa kumtuliza maumivu yake.

Sharti langu mtoto wake amuache kwa bibi yake, namchukua yeye single mother kwakua ni mzuri tu.

Kwangu atapata mapenzi, pesa, akili lakini pia mwanaume wakutoka nae out, am super handsome guys.
Habari zimfikie au afikishiee…
 
FB_IMG_1744284263941.jpg
 
Ndio nani huyo?

Weka picha yake akionesha mgongo tukushauri kama anakufaa
 
Huyu ni wewe mwamba
 
Attachments

  • v09044g40000cvjauonog65tg2b6e9qg.mp4
    4.1 MB
Kusafisha mtaro unaweza, maana yule Sope ameshamharibu na kazoeshwa huo mchezo.
 
Yoyote aliekaribu na huyu mrembo amfikishie taarifa kua kuna kijana handsome balobalo huko JamiiForums anataka kumchukua.

Mtoto mzuri kama yule anahitaji kua na kijana, sio mzee. Tena si kijana tu bali handsome. Nipo hapa kumtuliza maumivu yake.

Sharti langu mtoto wake amuache kwa bibi yake, namchukua yeye single mother kwakua ni mzuri tu.

Kwangu atapata mapenzi, pesa, akili lakini pia mwanaume wakutoka nae out, am super handsome guys.
Habari zimfikie au afikishiee…

Balobalo ndio yukoje? tuanze hapo kwanza, yasije kujirudia yale yale aliyokimbia.
 
Back
Top Bottom