Ndio nani huyo?Yoyote aliekaribu na huyu mrembo amfikishie taarifa kua kuna kijana handsome balobalo huko JamiiForums anataka kumchukua.
Mtoto mzuri kama yule anahitaji kua na kijana, sio mzee. Tena si kijana tu bali handsome. Nipo hapa kumtuliza maumivu yake.
Sharti langu mtoto wake amuache kwa bibi yake, namchukua yeye single mother kwakua ni mzuri tu.
Kwangu atapata mapenzi, pesa, akili lakini pia mwanaume wakutoka nae out, am super handsome guys.
Habari zimfikie au afikishiee…
Acheni kuchafua watuKusafisha mtaro unaweza, maana yule Sope ameshamharibu na kazoeshwa huo mchezo.
Wanajichafua wenyewe kuchambana mitandaoni mkuu, wote wale ni wahuni.Acheni kuchafua watu
Yoyote aliekaribu na huyu mrembo amfikishie taarifa kua kuna kijana handsome balobalo huko JamiiForums anataka kumchukua.