Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

ilikuwaje?
Ulimuona tu ukamuwaza au ulifanyaje?
au wewe ni muuza duka hapo akija unamzungusha chenji?
Niliend kula ktmoto cha kukausha, dah sasa akawa ananitazama kwa uchu sana yaan dah nkawa najiulza nibebe number au vp ila nkajikaz kumuepushia changamoto katk maisha aliyoyachagua , ila najutia maamuzi yangu
 
Sizani kama mimi kijana nitaweza ila wao wanapaswa kukataa si wanajifanya wanamuiga yesu
 
Niliend kula ktmoto cha kukausha, dah sasa akawa ananitazama kwa uchu sana yaan dah nkawa najiulza nibebe number au vp ila nkajikaz kumuepushia changamoto katk maisha aliyoyachagua , ila najutia maamuzi yangu
Heri umesema mapema hapo ningekuwa mimi utakatifu kando kwanza unyaturu karibu tubonge sasa ,namba kwanza mengine baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…