Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mfyuuuuuuu😕!Hahaha 😂 🤣 unapita nao tu, nao ni wanawake...
Huendi mbinguni walai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfyuuuuuuu😕!Hahaha 😂 🤣 unapita nao tu, nao ni wanawake...
Niliend kula ktmoto cha kukausha, dah sasa akawa ananitazama kwa uchu sana yaan dah nkawa najiulza nibebe number au vp ila nkajikaz kumuepushia changamoto katk maisha aliyoyachagua , ila najutia maamuzi yanguilikuwaje?
Ulimuona tu ukamuwaza au ulifanyaje?
au wewe ni muuza duka hapo akija unamzungusha chenji?
Stori tu za vijiweni hizi..Wee peramiho saiv wanakulana na wakaka wa shule ya seminari,
Yaan pale n uchafu mtupu khaaaaah.
Sizani kama mimi kijana nitaweza ila wao wanapaswa kukataa si wanajifanya wanamuiga yesuUnaanzaje kwa mfano?
Kuna kijana wa Chuo anagegeda "mtawa" na hili nimejihakikishia mwenyewe, sasa najiuliza vijana hamuogopi?
Hamuoni kama mnawapa dhambi?
Ni kweli masister wa sasahivi ni wadogo halafu ni "pisi kali" hasa hapo RuCu, labda mnaingia vishawishi vya kuwatongoza huko kwenye discussion za magroup.
Ila jaribuni kujizuia.
Heri umesema mapema hapo ningekuwa mimi utakatifu kando kwanza unyaturu karibu tubonge sasa ,namba kwanza mengine baadaeNiliend kula ktmoto cha kukausha, dah sasa akawa ananitazama kwa uchu sana yaan dah nkawa najiulza nibebe number au vp ila nkajikaz kumuepushia changamoto katk maisha aliyoyachagua , ila najutia maamuzi yangu
Sio sister uyu kijana wala hafananii hata kidogo, sister anaweka wigi toka lini hiyo minguo hawavai masister.We mtu mpaka kanya bado unasema editingView attachment 1650967