Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Sasa hapa si kama umeuza ramani ya vita...

Mkuu wa nursery school + Sister + Ukonga, hapa mtu yoyote anaweza connect dots
 
Vyuo vya kanisa hasa SAUTI, RUCO na TUMAINI watu wanagonga sana hao wavaa vilemba, maana hata usipo mtongoza ma-father watamgonga tuu
 
Kama Yesu alizaliwa na Maria why sista asizaee??? na yeye kumtongoza sista ni kawaida tuu anatongozwa kama wanawake wengine...
 
Mkuu kuna kile chuo chao hapo karatu au kile cha singida kiukweli ile mizigo aisee ni hatari .

Kuna watu wanajua kufungia sukari.
 
Mkuu usingetaja mahali hapo unatoa utambulisho wa mtu hadharani.

Hayo ya kwao na Mungu wao fainali siku ya hukumu kama ipo.

Unaweza kukuta tunajinyima bure kula raha za dunia, ukifa umekufa hakuna cha hukumu wala nini.
 
Ni kawaida sana Cha msingi wik moja kabla ya kumgegeda hakikisha unakula vijiko viwili vya tangawizi na asali kila siku na matikiti ya kutosha alafu siku ya mechi unapaka vumbi la Kongo masaa matatu kabla ya mechi yan ili asikusahau siku nyingine pia akutunuku
 
Karatu sehemu gani Boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…