Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Sasa hapa si kama umeuza ramani ya vita...Kuna jamaa yangu alikuwaga anamla Sister mmoja alikuwa mkuu wa nursery school ya watoto wake Ukonga, Sister alikuwa bomba huyo, siku ya kumla Sister alikuwa anadanganya anaenda head office kumbe jamaa anaenda kummaliza. Mie mwenyewe nilipomuona mate yalinitoka.
Mkuu wa nursery school + Sister + Ukonga, hapa mtu yoyote anaweza connect dots