Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Yani mmefeli hakuna alie upload kavideo mmefeli yani hata ka link hakuna, basi mmemsingizia tu haikua kweli wame edit tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona we ni mwenyeji yale maeneo usingejua kuwa kipo karibu na uboizoni.

Mkuu pale nilvua kofia daadeki ukicheki mizigo waliyopaki na zile rangi unaweza kuwa chizi.
Nishawahi Ishi Hio mitaa nilikuwa nikitoka pori la longido kufanya uwindaji Haramu napanda naelekea pale kuna toto la kimbulu ndo nilikuwa napumzka asubuh naweza kaa wiki naenda twn so nilikuwa nawaona MA sister wakali Sana na ukijitahid kutongoza ukosi pale

Hata dogo nilikuwa nawinda nae niliemuajiri alikuwa ni mwanafunz wa hapo uboyizini anatoroka shule tunakutana nae kweny Noah ni mwendoj


Kweli ujana maji ya moto nikikumbuka nacheka Sana
 
Hata wewe ulikuwa una roho mbaya kula sista
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…