Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Yani mmefeli hakuna alie upload kavideo mmefeli yani hata ka link hakuna, basi mmemsingizia tu haikua kweli wame edit tu
 
Hawa ni kanisa gani la nchi gani na mkoa gani au ni uzushi tu wa kibongo bongo.Kwani sasa teknolojia imekuwa mtu anaweza akavuliwa au kuvishwa nguo zisizo sahihi na ukaamini.
We mtu mpaka kanya bado unasema editing
FB_IMG_1608055111859.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] naona we ni mwenyeji yale maeneo usingejua kuwa kipo karibu na uboizoni.

Mkuu pale nilvua kofia daadeki ukicheki mizigo waliyopaki na zile rangi unaweza kuwa chizi.
Nishawahi Ishi Hio mitaa nilikuwa nikitoka pori la longido kufanya uwindaji Haramu napanda naelekea pale kuna toto la kimbulu ndo nilikuwa napumzka asubuh naweza kaa wiki naenda twn so nilikuwa nawaona MA sister wakali Sana na ukijitahid kutongoza ukosi pale

Hata dogo nilikuwa nawinda nae niliemuajiri alikuwa ni mwanafunz wa hapo uboyizini anatoroka shule tunakutana nae kweny Noah ni mwendoj


Kweli ujana maji ya moto nikikumbuka nacheka Sana
 
Nakumbuka kipindi ni mlinzi nishagraduate kitambo kidogo kuna shule Fulani ya kike ya dini ya wasichana tu ya wakatoliki huko mkoani kuna sister flani wawili ambao pia walikuwa na taaluma ya ualimu niliwala.

kipindi nikiwa nina zamu mchana tu basi kuanzia jion saa 12 nko free anakuja mmojawapo kushindia ukuni usiku mpka asubuh kweny majukumu yake nilikuwa napanga siku kuepusha mgongano

Kuna kipindi nipo hapo shule labda naambiwa nikabebe vifaa vyao maboksi basi naongozana na mmoja ambae anahusika na stoo tukifika huko natoa boksi na vifaa kwenye meza namuweka juu analipandisha lile gauni lake jeupe anashusha pichu napiga cha fasta. Sema niliwagonganishaga ghetto wakajuana wakawa wanachukiana chinichini ila life lilienda

Mmoja alinifanyia mpango niondoke hapo nifukuzwe baada ya kujua nilikuwa natafuna denti Nadhan wivu ulizidi hapo hasa siku zao za outing madent wanapenda ukuni hao sio poa ndo nikaamini kweli binadamu sisi ni wabaya tuna roho mbaya sasa unanifanyia mpango nafukuzwa ili ufaidike nini
Hata wewe ulikuwa una roho mbaya kula sista
 
Back
Top Bottom