Kijana hivi unaanzaje kutongoza Sister "Mtawa wa Kike" huogopi?

Kumbe bwana mdog unasoma RUCu ukiachana na wataw kun watt wakali kinoma .Sana Sana diploma kuliko masters na degree ( watawa wengi hapo wanasoma coz za afya diploma.
 
Hakuna salama kwenye mchanganyiko kati ya jinsia mbili tofauti.

Huwa tunaambiwa kwamba huwa hawa ni mabikra maisha yao yote. Sasa kama huyo anayechachuliwa na huyo dogo, vipi utawa wake bado upo au haupo ?
 
nilikuwa siamini hili lakini siku nimeshuhudia jamaa yangu mmoja katoka nae geto na mavazi y
Kuna mshikaji wangu alimtia mimba sister ikabidi amuowe

Sasa hav anae kitumbo kimejaa tens ndii?
unaachaje kuoa mkuu wakati mzigo unaupata safi
 
Kuna mmoja analiwa na kijana wangu mmoja ya ninaouzaga nao majeneza hapa kibandani kwetu yaani anamkula huyo sister utadhani mke kabisa
 
Na kilemba chake anakiacha wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…