Kijana huyu alikua akielekea kwenye mahojiano ya kazi, lakini alikumbana na matatizo kwenye tai yake

Kijana huyu alikua akielekea kwenye mahojiano ya kazi, lakini alikumbana na matatizo kwenye tai yake

daxy Jr

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
88
Reaction score
307
Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.'

SOMO: Usiruhusu tofauti za uongo za ulimwengu huu zikuzuie kuonyesha upendo na ubinadamu kwa kila mmoja.
DGX.png
 
“Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu''

SOMO: Usiruhusu tofauti za uongo za ulimwengu huu zikuzuie kuonyesha upendo na ubinadamu kwa kila mmoja
View attachment 2390236
Nimependa
 
Back
Top Bottom