Kijana jitambue: Fanya kitu sahihi kwa muda sahihi, ishi maisha yako

Kijana jitambue: Fanya kitu sahihi kwa muda sahihi, ishi maisha yako

west9

Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
19
Reaction score
9
Habari zenu wana JF,

Niende kwenye mada moja kwa moja

Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu.

Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa kufanya na kwa wakati gani.

Kijana tambua kuwa muda unaoutumia sasa una matokeo mbeleni Ujana una mwisho.

Cha msingi ni kwamba

Asanteni
 
Vipo vingi mfano kijana akiwa chuo a some kwa bidii apate GPA ya kueleweka..kama ni biashara basi sio vibaya akiwa serious na kuepuka vishawishi
Akishavipata vyote hivyo Hafi.
 
Back
Top Bottom