Tafuta pesa upate heshima,sasa maskini nani akubebe si utakuwa mzigo? Iko hivyo Duniani kote.Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi
Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta chama kingine
Yaani sasa hivi ili upate ubunge au udiwani ccm kwa wale wajumbe na naamini kwa sasa hakuna kukata mtu ni huyo huyo poleni kama huna pesa
Enzi za wajumbe kushiba kwanza na kuondoka na laki tano kila mtu zimerudi
Sasa hivi wajumbe asikwambie mtu
Enzi za matajiri wa mikoani kuamua wagombea ccm zimerudi
Silinde alienda kugombea ubunge Mbozi akiwa na 50,000 ya nauli ya kumtoa Dar kwenda Mbeya na akawa mbunge.Kwani ni Lin ambapo mtu Hana pesa angeweza kugombea udiwani au ubunge ......
Punguza ujinga wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hujielewi ,kuna wabunge hawakuwahi kutoa hata sentiKwani ni Lin ambapo mtu Hana pesa angeweza kugombea udiwani au ubunge ......
Punguza ujinga wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa sababu za umaskini leo yuko upande wa wenye pesa au kabaki kwa maskini? 🙄🙄Silinde alienda kugombea ubunge Mbozi akiwa na 50,000 ya nauli ya kumtoa Dar kwenda Mbeya na akawa mbunge.
Wewe ndo upunguze ujinga.