Pre GE2025 Kijana kama hutakuwa na pesa usipoteze muda kugombea Ubunge au Udiwani CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi

Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta chama kingine

Yaani sasa hivi ili upate ubunge au udiwani ccm kwa wale wajumbe na naamini kwa sasa hakuna kukata mtu ni huyo huyo poleni kama huna pesa

Enzi za wajumbe kushiba kwanza na kuondoka na laki tano kila mtu zimerudi

Sasa hivi wajumbe asikwambie mtu

Enzi za matajiri wa mikoani kuamua wagombea ccm zimerudi
 
Narudia kama huna pesa poleni vijana
 
Kwani ni Lin ambapo mtu Hana pesa angeweza kugombea udiwani au ubunge ......

Punguza ujinga wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tafuta pesa upate heshima,sasa maskini nani akubebe si utakuwa mzigo? Iko hivyo Duniani kote.
 
Kwani ni Lin ambapo mtu Hana pesa angeweza kugombea udiwani au ubunge ......

Punguza ujinga wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Silinde alienda kugombea ubunge Mbozi akiwa na 50,000 ya nauli ya kumtoa Dar kwenda Mbeya na akawa mbunge.
Wewe ndo upunguze ujinga.
 
Kwani ni Lin ambapo mtu Hana pesa angeweza kugombea udiwani au ubunge ......

Punguza ujinga wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hujielewi ,kuna wabunge hawakuwahi kutoa hata senti
 
Back
Top Bottom