Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Kulelewa raha wewe , tena umpate mama wa miaka Kama 55, 60 hivi nakuambia hutojuta yani kila utachotaka jibu ni Ye's tu na siku ukimkoleza zaid utaskia " Darling unatak zawad gan leo, hapo kidume ndo navimba bichwa sasa , n kutaja tu Haria new model ,, na kwa kuwa mkwanja upo utacheki kitu ichooooooo!!!! Hayo maisha nmeyaishi sana
 
kiukweli hakunaga kuvumilia kwenye madharau ya wazi namna hiyo!
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wameandika iyo dada ake
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
Daah kumbe inachubua eenh,mbona nyie mnashika mic hamchubuki?
 
Mwanamume yeyote anayelelewa na mwanamke ilhali yu mzima wa afya ukimchunguza kwa makini lazima atakuwa na viashiria vya kishoga kwa kuwa hayo si miongoni mwa matendo ya mwanamume rijali anaye elewa nini maana yeye kuwa mwanamume.......
 


kweli wanaume wameisha unalalamika kabisa eti vicheche! unapangaje kwenda out huna hela? ulijua mfukini anazo za kukutoa? yaani unaona ni haki kupelekwa ukale tena kwa ratiba yaki bila kujua ana hela ama hana! ni aibu hizi jaman
 
ila kwanini mwanaume ukae tu kama kiwete usubiri kupewa kila kitu? ina maana huwezi beba hata zege ukaleta buku 3 per day? mwenzako akaona unajitahidi kwa kiasi chako?

na nyie kina mama mtu ambaye ni mtafutaji siku amekwama unashindwaje kumsitiri?
wanaume fanyeni kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…