Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

teh teh teeeh!! na muolewe tu maana hamna namna.
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
Duuuh ngoja nami ntafute kidada nimpigie deki first class.....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Vijana narudia tena lazima kufanya kazi tena kwa bidii ili kufanikiwa haya mambo ya kuishi kwa kusubiri bahati nasibu za taifa sijui voda sijui RED-GOLD tomato ni ndoto za alinacha. Lazima kuwekeza katika Elimu/Maarifa na kufanya kazi kupita kiwango ulichopangiwa/ulichojipangia.
 
Back
Top Bottom