Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Kijana, Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Hahahahahahahahaha umenikumbusha rafiki angu mmoja wa zamaniii yuko na demu anamuweka mjini Sa juzi kamuuzi demu wee
 
Sioni haja ya kijana aliyekamilika kukimbilia kulelewa na mama mtu mzima, kwanza unakosa mengi sana 1. Joto-Joto 2. Mnato (Urari) 3. Mashamu shamu ya mapenzi
 
Celebrities wa Bongo ni watu wasiojielewa asee, kuwaza kulelewa tuuuuu.
 
Ujumbe huu unahusu wanaume na wanawake wote wanaonyanyasika kwa sababu wanawategemea wenza wao kifedha. Wajifunze kujitegemea au watafute wenza wanaofurahia kulea.
 
wake zetu (wanawake) wanataka Assurance ya maisha sio 6 packs za vitumbua
 
Kina mama wana maneno. Binafsi huwa najaa mtwara balaa mwanamke akibishana na mimi hasa kwa kushout.Basi mahubiri na NENO na Busara bionafsi hunifanya nisiue, vinginevyo.........
Sijui hao vijana wa kiume wanaoolewa humo ndani inakuwaje???
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
Hahaha...wanadekishwa bahari yenye chumvi kali sio?

Aisee umenichekesha sana.
 
Back
Top Bottom