Kijana mhitimu wa kidato cha sita achukue kozi ipi

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,500
Reaction score
8,690
KIJANA WANGU AMEHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUPATA DIV II NAOMBA USHAURI KOZI IPI NZURI KATI YA HIZI ACHUKUE
AMESOMA HKL

(a) Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics management
(b) Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
(c) Bachelor Degree in Road and Railway Transport Logistics Management
(d) Bachelor of Logistics and Transport Management
(e) Bachelor of Freight Clearing and Forwarding
(f) Bachelor of Arts in International Relations and Diplomacy
(g) Bachelor of Arts in Strategic Studies and Public Relations

Kila ushauri utazingatiwa
 
Acha kijana asome anachopenda kutoka moyoni mwake huku ukimuandaa kujiajiri baada ya hiyo miaka 3
 
KIJANA WANGU AMEHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUPATA DIV II NAOMBA USHAURI KOZI IPI NZURI KATI YA HIZI ACHUKUE
AMESOMA HKL

(a) Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics management
(b) Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
(c) Bachelor Degree in Road and Railway Transport Logistics Management
(d) Bachelor of Logistics and Transport Management
(e) Bachelor of Freight Clearing and Forwarding
(f) Bachelor of Arts in International Relations and Diplomacy
(g) Bachelor of Arts in Strategic Studies and Public Relations

Kila ushauri utazingatiwa
Akisoma International Relations ajiandae kuwa jobless milele 😅
 
Asiwe fala achukue B ina uwanja mpana ,ni vijana waliojazana huko LATRA ,TRC ,TASAC ,TAA, ..kuna kozi nyingine ziko pale DMI pia ni nzuri.
 
Sasa intrnational relationship unaelewa mana iyo n kutatuabmigogoro ya kimataufa kama ya iran na israel we unavoona mwanao ataweza iyo kazi hata akimaliza iyo degree au atafanya diplomacy ipi na izo kazi wanafanya kina kikwete 😀😁😄😂
Futa kikeke, weka M.Kipanya
 
KIJANA WANGU AMEHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUPATA DIV II NAOMBA USHAURI KOZI IPI NZURI KATI YA HIZI ACHUKUE
AMESOMA HKL

(a) Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics management
(b) Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
(c) Bachelor Degree in Road and Railway Transport Logistics Management
(d) Bachelor of Logistics and Transport Management
(e) Bachelor of Freight Clearing and Forwarding
(f) Bachelor of Arts in International Relations and Diplomacy
(g) Bachelor of Arts in Strategic Studies and Public Relations

Kila ushauri utazingatiwa
Umemwandalia mitaji ya kujiajiri, maana kwa zote hizo ajira ni kipengele?
 
C, B au BSc.Enviromental engineering.
 
Mimi nimehitimu course ya logistics and transport management pale NIT, nimeajiliwa miaka miwili then nikaacha kazi sasa hivi Nina campun yang ya logistics… hii course inakuwa uwanda mpana wa kufanya kazi AVIATION, PORT, RAILWAY.. LAND TRANSPORT, PIPLINE na nyinginezo nyingi
 
Back
Top Bottom