Kijana mkazi wa Dar es Salaam anatafuta bajaji ya mkataba

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Bwana mdogo anatafuta bajaji ya mkataba. Ni mkazi wa Dar. Nimefikisha hitaji lake Jamiiforums kama platform sahihi.

Wasifu wake: Ameshawahi kuchukua bajaji za mkataba 2 na kufanikisha kumaliza kikamilifu mkataba. Licha ya kutafuta bajaji ya mkataba ana biashara nyingine pembeni.

Karibuni wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…