Kijana mmoja wa Majita Musoma awavurugavuruga wanaume wa Dar

Kijana mmoja wa Majita Musoma awavurugavuruga wanaume wa Dar

Wapeeeeeeeeeeeeeeee
Aisee nilikuwa sijaiona,maana sipo FB
Tehehehehehe,jamaa amewachana kweli,aisee aibu saana yaani duhhh

Dar:Siasa,Madem,Utapeli,Ujanja ujanja,Nguvu za Kiume,Magufuli tightness,Pasua kichwa Style.

Unajua Madada wa Dar wanatoka sana kimaisha aisee,tena wamechangamka kweli kwenye Biashara zao.
Hongereni Sana Madada wa DAR
Mtakumbuka yule Mama alivamiwa duka lake na majambazi,akaonabora kufa kuliko kuchukua kila kitu,kaingia kwenye gari kiujanja na kukanyaga mafuta na kuwalenga majambazi,wakasepa motooo.Ni full Ujasiri.

Tatizo lenu ndio hilo - mwalimu kashikwa tai na mwanafunzi kule mbeya akatoa kichapo matokeo yake kila mtu anayajua ... sasa mara umpige panya rod kumbe ni mwanafunzi di kina ndalichako na kina mwigulu watakumaliza..?
 
ndivyo mnavyojitetea?
 
Back
Top Bottom