mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Kama inavyojieleza kwenye video hiyo wanaume wa Dar mje mjieleze kwanini lakini inakuwa hivyo tunaaibishana namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uliiona siku nyingi umefanya nini yaani umekaa tuu na ni wa Dar?!!ndio umeiona leo....??
uzuri mimi ni wa mkoani tena shamba kabisa....Wewe uliiona siku nyingi umefanya nini yaani umekaa tuu na ni wa Dar?!!
Tatizo lenu ndio hilo - mwalimu kashikwa tai na mwanafunzi kule mbeya akatoa kichapo matokeo yake kila mtu anayajua ... sasa mara umpige panya rod kumbe ni mwanafunzi di kina ndalichako na kina mwigulu watakumaliza..?