Wapeeeeeeeeeeeeeeee
Aisee nilikuwa sijaiona,maana sipo FB
Tehehehehehe,jamaa amewachana kweli,aisee aibu saana yaani duhhh
Dar:Siasa,Madem,Utapeli,Ujanja ujanja,Nguvu za Kiume,Magufuli tightness,Pasua kichwa Style.
Unajua Madada wa Dar wanatoka sana kimaisha aisee,tena wamechangamka kweli kwenye Biashara zao.
Hongereni Sana Madada wa DAR
Mtakumbuka yule Mama alivamiwa duka lake na majambazi,akaonabora kufa kuliko kuchukua kila kitu,kaingia kwenye gari kiujanja na kukanyaga mafuta na kuwalenga majambazi,wakasepa motooo.Ni full Ujasiri.