Hatanitumia yule. Yangu tu ndo alikutumiaMwambie akutumie haha
Baki kule shenzi kabisaUnikumbuke shoga angu
Asantee kwa kunielewaMimi nakuelewa sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkwe mwenza acha kupenda helaHahaa hawezi we fanya tu kunitumia mke mweza hyo elfu 50
Usijal dada ntaweka soon ntakutagi kuhusu uyu shoga yako mnaotawalaga majukwaa ya jfTajiri mi nawe tushakua ndugu mim dada yako mbona
Weka profile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakili msomi
Tahira msomi
Mpenzi msomi
Mke/Mume msomi
Mbunge Msomi
Tajiri msomi
Na mimi Wamkoani msomi
Aweeee.Karibu sana we lazima tupige king'or a wakae kando
Nampenda ,,nilisubiri nione ananipenda mpaka mama yake kuambiwa kuna mama sabrina Mwanza acha nimpende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abeeeh mda umekaribia mama na jf ndio imepamba motoShunie
Mimi alisemaje?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sema kwenye list beb hajawahi kukutaja mimi tu nakusingizua
Ananiambia mwenyewe hana shida.Sasa unamuulizaje hivi unafkili anaweza kukubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa kila mtu anadanganywa kwa upande wakeJf mnapangwa wote mama,kila mtu anafarijiwa na kuambia nakupenda nimeshtuka mie
Ahahaj msomali kanikabaHalafu mimi nampenda huyu mama Sabrina lakini hanitaki kwasababu mimi mgogo. hahahahaha
HahahaAbeeeh mda umekaribia mama na jf ndio imepamba moto
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. N unaona lakini unavyopendwa we kaka.Nampenda msomali wangu jamani ,,ila N mtu wangu wa nguvu poa usijali msiniumizie mtunzeni mumvulimie
Yap ukiamini utakufwaa na presha siku yakitokea tuulize sie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiambiwa unapendwa jiongeze. Na wewe mwambie nakupenda pia huku unamwambia mwingine unampenda na wewe
Lemutuz jambazi lile wagogo tunaomba hela tu lakini papuchi hatuombi. HahahaMi mwenyewe shemeji mgogo simtaki. Halafu Lemutuz si mgogo na yeye eeeh?
Jukwaa lenyewe si unalionaKumbe picha la kihindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana jaman me na wahuni na wasela wapi na wapi hawashindwi kukuchukua pic au video huku mnakulana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usisahau kunitag MkuuUsijal dada ntaweka soon ntakutagi kuhusu uyu shoga yako mnaotawalaga majukwaa ya jf