Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
hahahahaaa. Naona umeanza kuwa wifi sasa unamlindia kaka akoBaki kule shenzi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaa. Naona umeanza kuwa wifi sasa unamlindia kaka akoBaki kule shenzi kabisa
Usiogope sina mshipa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mshipa
Hili jina linasadifu nini
Nakuapia utanifata pm ukimuwezaJamani shikilia hapo hapo mwaya. Huyu niachie mimi tutawezana.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ngoja nikumbukeMimi alisemaje?
Muoneeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85] nimewaza tu
Akikujibu uniiteMshipa
Hili jina linasadifu nini
HahahaEbu nitajie ni nani huyo
Duh kumbe hata ww humjui m nikionaga mnasupportiana mnatagiana najua mnafahamiana duh hadi nasita kupost uzi wakeUsisahau kunitag Mkuu
Atakufataje sasa jamaan we ndio umfateAchana na huyo kizee...huyo wa kwenye picha
Nakweli linakuhusuJukwaa lenyewe si unaliona
Hehehe msomali wangu hakuna jf nzimaBora sisi wala chipsi (wanaume wa Dasalamu) kuliko wala mirungi hao nasikia wake zao walalama hawapati mgegedo.
Cc:Saint IvugaI love u moree...[emoji126] [emoji126] on the way to pm
Kweli hajakupa?alikuambiaje kuhusu mie,nifate pm ikiwezekanaHatanitumia yule. Yangu tu ndo alikutumia
Ahahahhh au mambo ya katerero nasikia huwa yanachanganya akili kabisaKaniroga shemeji ako wakunyumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shunie mim nimesanda
Sawa nakusubiriaUsijal dada ntaweka soon ntakutagi kuhusu uyu shoga yako mnaotawalaga majukwaa ya jf
Shunie acha ya humu tuna moyo watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa kila mtu anadanganywa kwa upande wake
Mshkaji wake. Nikakumbuka kuleee ulisema hivyo piaKweli hajakupa?alikuambiaje kuhusu mie,nifate pm ikiwezekana
Hapana mkuu siweziKwa sasa nimeacha shunie
[emoji27] [emoji27] [emoji27]