makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Shunie akee hii mfyuuuu yako jirekodi unitumie nataka niiweke kama ringtone kwenye kimeo changu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe tens mfyuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shunie akee hii mfyuuuu yako jirekodi unitumie nataka niiweke kama ringtone kwenye kimeo changu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe tens mfyuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Acha kumkatisha tamaa mwenzio kachoka kupangwaUkipigwa busu tu unasahau yote weye
Ahahhh ungeniona ungenionea hurumaKweli vileee
Naona unavommendea binti sakayoWasiwasi ondoa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shilawadu at work...namm usisahau
Ukitagiwa usinisahau mwenzaShilawadu at work...namm usisahau
Kakugusa nini!?Kumbe N ni Ngabu??
kijana tajiri ni MO DEWJI huyo wako mnajuana wapiHuyu kaka yeye kaamua kabisa kusema Mama Sabrina unasifia wengine tu hata mimi je hata sisi wa jf tusifie sio Docta ulimwengu tu,nikasema sina hiyana mie ,sina upendeleo
Ngoja mumuone akiona picha yake atakuja mwenyewe tu hapa View attachment 686409 ni kijana Tajiri kisha msomi sifa zote anazo ,,haya wadada wa jf changamkia sio kila siku unapata sura ngumu hizi hapa sura laini pia zipo humu humu.
Pia watokwa mapovu nao nawajali ntafanyaje sasa ntawarusha tu kama una pua kama ngumi sawa tu hatujajiumba ,ila hulka ya wanadamu kusemana hakuna alie sawa,yaa ukijisikia nikurushe hapa njoo pm rusha picha unayoona nzuri kwako ntakurusha hapa wachuchu watakutafuta ,mimi wangu msomali kwa sasa ananitosha nimeona anakidhi vigezo,ananiheshimu sana jamani na kujali pia,so ananifaa na hayupo humu msihangaike kumsaka pia hana kibamia sifa kuuu,sura pia anayo ya kulingishia maadui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unaenicheki pm jua nina mtu tayari kwa sasa wala sihitaji ndoa zenu za masimango kabisa
Halaf leo nataka mapovu ili nifue nna nguo chafu mjue
Wewe ukiona Mama Sabrina anakukera usisogee wala usijihangaishe kupost maoni yako siiti mtu mnajileta wenyewe sawa
Muwe na usiku mwema pia docta anawapa hi kaona mapovu yenu kacheka sana sana yaan
[emoji1] [emoji1] huyo mke wa mtuNaona unavommendea binti sakayo
Eenh ndio jf mkuu wengi hatujuani usione tunacheka pamoja hapaDuh kumbe jf unaweza supportiana na adui yako jukwaani mtaani mnawindana
Teh teh teh... [emoji23] [emoji23]Na mie nataka nipost sura yangu humu. Waanze kusema demu mwenyewe hata bure sili [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali naelewa mke mwenza ulivo shilawaduUkitagiwa usinisahau mwenza
Na ndevu zake zikinichoma choma,,msomali anazo zaidi jy dia nahitaji respect zaidiUkipigwa busu tu unasahau yote weye
Ahahhh ntajirecord nikutumie sijui umefkilia niniShunie akee hii mfyuuuu yako jirekodi unitumie nataka niiweke kama ringtone kwenye kimeo changu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaAtakua kaona ujumbe wake hapa lazima.
Cc Nyani Ngabu
Ila ndo vizuri afu we nahisigi ni ex wangu mmoja hivi kuna namna uwa unasound kama yeye aseeEenh ndio jf mkuu wengi hatujuani usione tunacheka pamoja hapa
HahahaAhahhh ungeniona ungenionea huruma
WalaaaaaKakugusa nini!?