Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #21
Rusha picha pm karibu,uwe umependeza unang'aa ili usiniangusheebasi na mie nataka kumbe bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rusha picha pm karibu,uwe umependeza unang'aa ili usiniangusheebasi na mie nataka kumbe bure
Nakupenda utapata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa Mimi sura ngumu, sura ya hip hop! Nasubiria yule ben10 aachie ngazi!Mzuri mnooo si unajua me na handsome tofauti
Haahh, unamchokoza eeWe ntakupatia mmoja anajita bigmind anaonekana ana sura ya wasira usijali
Aisee mim nina sabrina nampenda kama roho yangu,,pia nimepata msomali ananipenda vibaya mno ,kesho kuwa anatua Mwanza,,halaf nitamfata mzuri mnoo so keshokutwa naenda pata dozi kali kabisa ,,nampenda maana nyota njema huonekana toka asubuhi kabisa,mim msomali ananitosha sihitaji mtu jf,,mnaonisoma jf sihitaji mme wala mchuchu ,msomali keshakidhi viwango kabisa ,mzuri halaf hana kibami acha nifate upendo uliko,,wa humu wapate ambao sinaMama Sabrina vipi na wewe single mother? Naona unawamendea wakaka wa Instagram kama Fisi na mkono wa binaadamu.
Deo wa Mwanza piaAisee naona unafata nyayo za Deo kisandu kwa hizi nyuzi zako za karibuni
Mbavu zangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakupenda utapata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama brina angalia utani wa kk anakufananishaje na kisanduAisee naona unafata nyayo za Deo kisandu kwa hizi nyuzi zako za karibuni
Swank my dia keshanichamba pm wewe nami wala sichukii tunampenda na sura yake mbaya hivyo hivyoHaahh, unamchokoza ee
Ngoja aje na mapovu yake ya sabuni ya kipande
Una sura ngumu hela ipooo sio una sura ngumu hata mia hauna utegemee kunifanya ganda la ndizi au mama wa fursaSa Mimi sura ngumu, sura ya hip hop! Nasubiria yule ben10 aachie ngazi!
Hahaah! Yaani kaanzia kukupa mchambo public akaona haitoshi akakufata hadi private!Swank my dia keshanichamba pm wewe nami wala sichukii tunampenda na sura yake mbaya hivyo hivyo
Mbavu zangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] So wewe ni Dada yakeDeo wa Mwanza pia
Yaan acha halaf hata simkasirikii kabisaHahaah! Yaani kaanzia kukupa mchambo public akaona haitoshi akakufata hadi private!
Kweli yule ni bigmind!
HahahahahahUna sura ngumu hela ipooo sio una sura ngumu hata mia hauna utegemee kunifanya ganda la ndizi au mama wa fursa
Hivyo vitu vimenishinda kabisa havipiti yaan ni heineken na wine kidogo ila heineken naipenda mnooo
Haaah. Haaah. Haaah. Zile kama za Mo Sina! Ile zile zingine ninazo!Una sura ngumu hela ipooo sio una sura ngumu hata mia hauna utegemee kunifanya ganda la ndizi au mama wa fursa
Kisandu sukuma mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama brina angalia utani wa kk anakufananishaje na kisandu
Nimemuuliza nijue raha ya sura ngumu na hela iwepoHahahahahah