Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #381
Jf bana huyo mo hatumjuo humukijana tajiri ni MO DEWJI huyo wako mnajuana wapi
Ata ww mume wa mtu[emoji1] [emoji1] huyo mke wa mtu
Hizo mambo ache nikufwe na hamu zangu jamanUmeonaeee
Miami wa Ethiopia ndio wengi pale sijui kama wa Somali wapo wengi. Ila Minnesota, Ohio, Georgia na Canada wapo wengi sana.Miami baba
Billie we mzuri tuDaaa natamani na mimi ningekuwa msomi aisee
Na kweeeeli wakunyumba. Watu tunachat hatujuani hata sura bora wewe wakunyumba nakujua. Wengine basi tu mnajikuta damu zinaendana mnakuaga mashoga/marafiki/kaka/dada humu humu. Unamuita mtu beb hata pm hamjawahi kuchatEenh ndio jf mkuu wengi hatujuani usione tunacheka pamoja hapa
Basi tu huwa inanikosha saana.. Popte ninapoiona mfyuuuu yako basi taswira ya tabasamu hujengeka usoni mwangu..Ahahhh ntajirecord nikutumie sijui umefkilia nini
Sitaki u,jue bana ,mzuri yule acha tu,niache toziMiami wa Ethiopia ndio wengi pale sijui kama wa Somali wapo wengi. Ila Minnesota, Ohio, Georgia na Canada wapo wengi sana.
Haha ndo tunasiane sasa unajukuta front page kwenye uwaziAta ww mume wa mtu
Sawa mshipaWasiwasi ondoa kabisa
Hahahaaa. Umbea sunna mwenza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali naelewa mke mwenza ulivo shilawadu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha tu nimejifanya nipo seblen naangalia Nigeria movie kumbe nipo busy na jfHahaha
Kwa nini tena
WachaaaaaNa ndevu zake zikinichoma choma,,msomali anazo zaidi jy dia nahitaji respect zaidi
ha ha basi ni Ontario ha haJf bana huyo mo hatumjuo humu
KhaaaaaIla ndo vizuri afu we nahisigi ni ex wangu mmoja hivi kuna namna uwa unasound kama yeye asee
Hahaa ndo hapo sasa...na apa jf tunawaweka na uzi utakua new alertHaha ndo tunasiane sasa unajukuta front page kwenye uwazi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Awe na sura ngumu awe na pesa kama hana aoe sabuni
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha tu nimejifanya nipo seblen naangalia Nigeria movie kumbe nipo busy na jf
Nashukuru kwa kunielewaSawa mshipa