Dada huyo tajiri nani sijui anataka kunivuruga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nakuona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mbona unijiita Kajina fulani kana haiba za uromantic kanasound kimahaba zaidiHuo ndio ukweli hukawii kuweka picha hapa ukasema ni mm me ni mtawa mkuu
Ila ndio ukidume huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo kashfa unaweza ukahama nchi
Mtaa..weinting(in naija voice)Khaaaaa
Makubwa haya mkuu umenifananisha me ni mtawa yan simjui mwanaume kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyaka wewe.Khaaaaa
Makubwa haya mkuu umenifananisha me ni mtawa yan simjui mwanaume kabisa
Mkuu kwenye kuregister nikianza na sister flani nambiwa limetumika basi nikaandika tu shunie limekubali hapa nataka siku niwapm mods niwaambie wanibadilishie wanianzie na sister shunieSasa mbona unijiita Kajina fulani kana haiba za uromantic kanasound kimahaba zaidi
Hahahahha et kulelewa je we uko tayari kutunzwa?Amesoma mpaka la ngapi?nina miaka 50 yupo tayari kulelewa?
Ulikua hujui?Kumbe eeeh
Ukidume ndio unasiane na mke wa mtu..hapana kwakweliIla ndio ukidume huo
Eeeenh unabisha na weweMtaa..weinting(in naija voice)
Kweli jaman sasa mtu amesema ananifananisha na x wake me ni mtawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyaka wewe.
Na mie nataka nipost sura yangu humu. Waanze kusema demu mwenyewe hata bure sili [emoji23][emoji23]
Mungu nisaidie nimuoe sister .huna mpango wa kumjua mwanaume?Mkuu kwenye kuregister nikianza na sister flani nambiwa limetumika basi nikaandika tu shunie limekubali hapa nataka siku niwapm mods niwaambie wanibadilishie wanianzie na sister shunie
Wewe toka lini ukanuna ukiwa na mie.. [emoji23] [emoji23]Ahahahh
Nimecheka sana
Basi usitongoze kila mwanamke mke wa mtu hakuna wa peke akoUkidume ndio unasiane na mke wa mtu..hapana kwakweli
Unataka nianze kusemwa nilivyo mbaya?Niipost picha yako humu?
Hata ukiniwekea bunduki kichwani nabishaEeeenh unabisha na wewe
Sina mkuu kabisa nitakufwa tu na utamu wanguMungu nisaidie nimuoe sister .huna mpango wa kumjua mwanaume?
Kweli nakuchokonoa[emoji23] [emoji23] .. Haya nisamehe mie. [emoji85] [emoji85]Niache naona unanichokonoa. [emoji2]
HahahaDada huyo tajiri nani sijui anataka kunivuruga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nakuona