Kijana msomi jf

Kijana msomi jf

Aisee mim nina sabrina nampenda kama roho yangu,,pia nimepata msomali ananipenda vibaya mno ,kesho kuwa anatua Mwanza,,halaf nitamfata mzuri mnoo so keshokutwa naenda pata dozi kali kabisa ,,nampenda maana nyota njema huonekana toka asubuhi kabisa,mim msomali ananitosha sihitaji mtu jf,,mnaonisoma jf sihitaji mme wala mchuchu ,msomali keshakidhi viwango kabisa ,mzuri halaf hana kibami acha nifate upendo uliko,,wa humu wapate ambao sina
Acha mikwala kumbe unaishi mwanza
 
Back
Top Bottom