Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Ujue sijui maana ya mtawa mi ni kkkt lutheranSasa kwa nini humpi heshima yeke mtawa akiongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue sijui maana ya mtawa mi ni kkkt lutheranSasa kwa nini humpi heshima yeke mtawa akiongea
AiseeeHahaha sio rahisi kiivyo tunabadilishana uzoefu kidogo
Sijasema shemeji ako wakunyumba nimesema umsalimie tuUjue sijui maana ya mtawa mi ni kkkt lutheran
Kutokukutaka hio haiondoi wewe kuwa swahiba wangu, haikufuti wewe moyoni mwangu kuwa mmoja wa marafiki zangu hapa jf.Najua huwezi japo hunitak tena.
Ungekuwa Roman ungeelewa usiku mwema mkuuUjue sijui maana ya mtawa mi ni kkkt lutheran
Ila yote 9 we si ndio ulinikataa wewe umeamua kumpa.................. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Najua huwezi japo hunitak tena.
Haha vipi mbona unang'ata vidole mamaAiseee
Kheeee sawa wakunyumba jamanSijasema shemeji ako wakunyumba nimesema umsalimie tu
Sijambo dada, vipi ndugu yangu!?Hahaha
Maka hujambo
Ebu elezea kinagaubaga kidogo mziguaSijasema shemeji ako wakunyumba nimesema umsalimie tu
Namie nachema chichemi. [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Ahahh wala sitaki useme
Nieleweshe bas afu hapa kwangu niko jiran na parokiaUngekuwa Roman ungeelewa usiku mwema mkuu
Poa kakaSijambo dada, vipi ndugu yangu!?
Nimekuhamu ndugu yangu.Poa kaka
Wakubwa wanang'amua.. [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijasema shemeji ako wakunyumba nimesema umsalimie tu
Ukuje umsalimie shemeji yako.. [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Nipo hapa wakunyumba
Nipo kakaNimekuhamu ndugu yangu.
ID yake jamani lolHahahahaaaaa kuna mkaka ni handsome jamani
Yupo humu mnapiga one night stand ila anavyokujali ni kama amekuoa.
Shout out to you mr Dr.