Kijana msomi jf

Mama Sabrina vipi na wewe single mother? Naona unawamendea wakaka wa Instagram kama Fisi na mkono wa binaadamu.
Aisee mim nina sabrina nampenda kama roho yangu,,pia nimepata msomali ananipenda vibaya mno ,kesho kuwa anatua Mwanza,,halaf nitamfata mzuri mnoo so keshokutwa naenda pata dozi kali kabisa ,,nampenda maana nyota njema huonekana toka asubuhi kabisa,mim msomali ananitosha sihitaji mtu jf,,mnaonisoma jf sihitaji mme wala mchuchu ,msomali keshakidhi viwango kabisa ,mzuri halaf hana kibami acha nifate upendo uliko,,wa humu wapate ambao sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…