Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Nakusalimia bibie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama brina angalia utani wa kk anakufananishaje na kisandu
Mie kidevu chako chaniuaHaya matangazo uliyoanzisha huku Jf unafanya kwa mamlaka ya nani?[emoji3][emoji3]
Kaka ako wa faida hivi ameshaachiwaKisandu sukuma mwenzangu
Hapo sawa kumbe hela unayo tutaenda sawaHaaah. Haaah. Haaah. Zile kama za Mo Sina! Ile zile zingine ninazo!
Usimkasirikie atakupunguzia kiwango cha damu bureYaan acha halaf hata simkasirikii kabisa
Shikamoo KK jaman nakuhamu tu mimiNakusalimia bibie
Hii Jack DanielHivyo vitu vimenishinda kabisa havipiti yaan ni heineken na wine kidogo ila heineken naipenda mnooo
Khaaaa siku hizi umenishinda mm jamanMie kidevu chako chaniua
Haha unasema kweli?Mie kidevu chako chaniua
Awe na sura ngumu awe na pesa kama hana aoe sabuniNimemuuliza nijue raha ya sura ngumu na hela iwepo
HahahaUna sura ngumu hela ipooo sio una sura ngumu hata mia hauna utegemee kunifanya ganda la ndizi au mama wa fursa
Siwezi whishky pombe kali yoyote siweziHii Jack Daniel
Kwakweli aoe sabuni au apambane na hamu zakeAwe na sura ngumu awe na pesa kama hana aoe sabuni
Nawe unang'aa kwenye mashine?usije ukawa na kiba100Rusha picha pm karibu,uwe umependeza unang'aa ili usiniangushee
Ehhewj hata sijuiKaka ako wa faida hivi ameshaachiwa
Haina tabu kabisa. Unanishauri nianze kuhudumia sasa hivi ama nisubirie benkumi aachie ngazi?Hapo sawa kumbe hela unayo tutaenda sawa
Hivi Dada nimebadilika kukushinda wewe jaman ebu usinisingizieHahaha
Yaani mechekaaaa ujue wewe umebadilika sanaaa
HahahaKhaaaa siku hizi umenishinda mm jaman
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mwache mwenzakoKhaaaa siku hizi umenishinda mm jaman