Kijana msomi jf

Kila siku kidevu nae si akutumie pm full pic uhangaike nayo we mshipa mtumie pm huko mara paap sura kama wassira utakoma kulilia videvu vya watu halaf ukikutana na sura inatisha usije kunililia
We huoni kiko kama cha T
 
Kumbe yule Doctor Ulimwengu msomali? Halafu wanawake wa Mwanza mna miguu na misambwanda si mchezo aiseee. Wengi wa wanawake wa mwanza kama Wanyarwanda muonekano wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…