Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #161
Upo mzuri wallah kuna wenzako humu sura tunamuachia Mungu,upo vizuri mkuu sana hapo hujaeditiwa sasa ,,uko vizuri kabisaaMama Sabrina Leo umenilipua paaaaaaaa yani picha na I'd yangu ukaweka wazi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila ahsante naona pm mambo safi foleni ya kufa mtu
HahahaHivi naanzaje kukusahau na kashasema jirani yako mahela anayo
Msomali huyu ndio kichwa kinakuuma ukiongea nae lugha eenhMsomali ndio wangu mimi hapa kesho kutwa anatia maguu kufata k ya kisukuma,docta ulimwengu ni rafiki yangu tu namzimia pia kama msomali akizingua atachezea kichapo ujue,,noo msomali nampenda ananiheshimu ashanitambulisha kwa mama yake dada zake wapo Us ,ananiheshimu kweli ,docta mtanzania mwenzangu mi fan wake tu
Mama Sabrina atakuwa mtamu kama wale sangara wa mwanza.Nasikia na Mama Sabrina weka mbali na watoto upande wa shape
Bwana weeh ebu tuma mahela kwanza achana na mambo za forex huko kuna demo na real acc sasa huku kwangu demo iko wapiHaaah. Sa hiyo si kama FOREX?
Pemda vya nyumbani mama utaniambia siku ukipata presha na BpHahahahaa... mi ninawapenda wanaume wetu wa bongo. Mie mzalendo napenda vya nyumbani
Happy new year to you tooJirani yangu habari za miaka! Happy New Year 2018!
Thanks sana. Kimya?Happy new year to you too
HahahaSio kazi ndogo. Huyo mkaka anajikubali ndo maaana katuma. Wale wenye sura za babu yake babu na babu yake babu ndo wanatoa povu wenzao wazuri wakisifiwa kama vile na wao wamekatazwa kusifiwa
Nimepungua aisee ,,hivi unajua Msomali anavyoniheshimu wewe natamani awe wangu milelel jamaniWa humu wetu Sote.
Bora mpungue
Nipo mama japo tunang'aa sharubu kama za paka kwa majukumu. Hofu kwakoAsante kk jaman upo lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee
Saint Ivuga na ww peleka picha yako tukuone ulivyo na sura chachu kama ya limao
Wewe kama mwanamke mwenzangu unaelewaje kuhusu kujali ?Ana hela?? Vizuri ule na wenzio baasi
Ni tajiri ,mwenyeweKumbe picha la kihindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu endelea kuzichangaNgoja niendelee kuzichanga kwenye forex
HongeraaNimepungua aisee ,,hivi unajua Msomali anavyoniheshimu wewe natamani awe wangu milelel jamani
Ongera zakeNi tajiri ,mwenyewe
We wataniibia bwana, sio kwa kidevu hichoUmependa wazo langu eeh?
EeenhVigezo vyote nimekizi nasubiri lako jibu