Kijana msomi jf

Kijana msomi jf

Mama Sabrina Leo umenilipua paaaaaaaa yani picha na I'd yangu ukaweka wazi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila ahsante naona pm mambo safi foleni ya kufa mtu
Upo mzuri wallah kuna wenzako humu sura tunamuachia Mungu,upo vizuri mkuu sana hapo hujaeditiwa sasa ,,uko vizuri kabisaa
 
Msomali ndio wangu mimi hapa kesho kutwa anatia maguu kufata k ya kisukuma,docta ulimwengu ni rafiki yangu tu namzimia pia kama msomali akizingua atachezea kichapo ujue,,noo msomali nampenda ananiheshimu ashanitambulisha kwa mama yake dada zake wapo Us ,ananiheshimu kweli ,docta mtanzania mwenzangu mi fan wake tu
Msomali huyu ndio kichwa kinakuuma ukiongea nae lugha eenh
 
Sio kazi ndogo. Huyo mkaka anajikubali ndo maaana katuma. Wale wenye sura za babu yake babu na babu yake babu ndo wanatoa povu wenzao wazuri wakisifiwa kama vile na wao wamekatazwa kusifiwa
Hahaha
Kama nawaona vileee
 
Weka picha mkuu na uwe na mahela sasa
af4eec00ee042ce7cd11f84b129c5896.jpg


Hapo uninyime mwenyewe tyu
 
Back
Top Bottom