Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mume wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mume wangu
Weeee shemeji ako mfyuuNamuomba nanihii wenu na mm
Akija wapi sasa jamanWakunyumba humu Mambo ya code shemeji ako utamuona tuu akija.
Huyo nanihio ndio nani sasa kwani unamjuaMi mwenyewe nilijua nanihiii peke yake ndiye handsome kumbe kuna wengine...
Mama Sabrina Leo umenilipua paaaaaaaa yani picha na I'd yangu ukaweka wazi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila ahsante naona pm mambo safi foleni ya kufa mtuMsomali ndio wangu mimi hapa kesho kutwa anatia maguu kufata k ya kisukuma,docta ulimwengu ni rafiki yangu tu namzimia pia kama msomali akizingua atachezea kichapo ujue,,noo msomali nampenda ananiheshimu ashanitambulisha kwa mama yake dada zake wapo Us ,ananiheshimu kweli ,docta mtanzania mwenzangu mi fan wake tu
KhaaaNamuomba nanihii wenu na mm
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwenyewe sielewi chochote huyo nanihii sijui ndio nani ngoja akuje labda tutamjuaMsituache Ubungo
Haijui hata sitaki wala hajui kiswahili,wa humu mimi nimenyanyua mkono aisee hangaika nao weweHeri yako kama utamuona kesho tu. Msomali nae zao la humu?
HahahaKhaaa
T yupi huyo
Ana hela?? Vizuri ule na wenzio baasiHahahahaaaaa kuna mkaka ni handsome jamani
Yupo humu mnapiga one night stand ila anavyokujali ni kama amekuoa.
Shout out to you mr Dr.
MhHuyo msomali huyo kapendwa kama mie navyompenda mkurya na msukuma wangu.
Hata sisi tunapenda uzuri Ila hamna mbadala tunapambana na sura zetuSio kazi ndogo. Huyo mkaka anajikubali ndo maaana katuma. Wale wenye sura za babu yake babu na babu yake babu ndo wanatoa povu wenzao wazuri wakisifiwa kama vile na wao wamekatazwa kusifiwa
Umependa wazo langu eeh?Hahaha
Yaani umejua kunichekesha ujue
Hahahahaa... mi ninawapenda wanaume wetu wa bongo. Mie mzalendo napenda vya nyumbaniHaijui hata sitaki wala hajui kiswahili,wa humu mimi nimenyanyua mkono aisee hangaika nao wewe
Nakusogezea karibu tuMwanamke kuwa na ndevu
Foleni ikipungua nishtue nataka kuja na mimiMama Sabrina Leo umenilipua paaaaaaaa yani picha na I'd yangu ukaweka wazi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila ahsante naona pm mambo safi foleni ya kufa mtu
Sio wewe sawa na unavyojiweka kwa avatar au umeshasahau tenaSio Mimi bhana
Wa humu wetu Sote.Haijui hata sitaki wala hajui kiswahili,wa humu mimi nimenyanyua mkono aisee hangaika nao wewe
Hahaha aya bwana shunieSio wewe sawa na unavyojiweka kwa avatar au umeshasahau tena
Kumbe picha la kihindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama Sabrina Leo umenilipua paaaaaaaa yani picha na I'd yangu ukaweka wazi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila ahsante naona pm mambo safi foleni ya kufa mtu