Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi sipungui lakini. Tutabana tuWa humu wetu Sote.
Bora mpungue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi sipungui lakini. Tutabana tuWa humu wetu Sote.
Bora mpungue
OoohNakusogezea karibu tu
Nishazoea nakuambia kila sikua lazima pige mara mbili hapa nilipo nasubiria yeye,nishaumwa kichwa nimezoea sasa kizungu,,akisema neno la kiswahili utakufa mbavu,,lazima apige asubuhi na usiku siku zingime mchana pia,kesho kutwa nampokea hapa nalowana nikimfikiria ujueMsomali huyu ndio kichwa kinakuuma ukiongea nae lugha eenh
Nisaidie kumwambie huyo mkaka anifate pm nina zawadi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hapana hatuwezi dada usiogope ukiona picha hapa jua mwenye nayo karidhiaTaratibuuu
Msijeweka picha zetu
ukute na pochi yake nayo nzuri mbona itakua rahaaUpo mzuri wallah kuna wenzako humu sura tunamuachia Mungu,upo vizuri mkuu sana hapo hujaeditiwa sasa ,,uko vizuri kabisaa
Mie namjua nanihii wanguHuyo nanihio ndio nani sasa kwani unamjua
Wakunyumba jaman usikute labda tulishatongozana unipe taarifa vizuriWeeee shemeji ako mfyuu
Kama wale satoMama Sabrina atakuwa mtamu kama wale sangara wa mwanza.
Mi mtamu tu alwaysMama Sabrina atakuwa mtamu kama wale sangara wa mwanza.
Mmh ebu tuwekee screenshot hapaMama Sabrina Leo umenilipua paaaaaaaa yani picha na I'd yangu ukaweka wazi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila ahsante naona pm mambo safi foleni ya kufa mtu
Nishazoea ila nabanana hivyo hivyoPemda vya nyumbani mama utaniambia siku ukipata presha na Bp
Mi shape kawaida tu sitishi kabisaNasikia na Mama Sabrina weka mbali na watoto upande wa shape
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimjue tu ni naniKhaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haijui hata sitaki wala hajui kiswahili,wa humu mimi nimenyanyua mkono aisee hangaika nao wewe
AhahahahahhaAiseeee
Saint Ivuga na ww peleka picha yako tukuone ulivyo na sura chachu kama ya limao
Namjua jaman nawaza tu kidevu kipiii cha kivuli auHahaha
Humjui au
Yap anajiamini halaf mzuriiHuyu kaka kawakomesha watu hwawezi kutumiana pich watsap kawawahi
[emoji51][emoji51][emoji51] unataka kugundua nn ?Mmh ebu tuwekee screenshot hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utamu wa sukari guruMi mtamu tu always